WELCOME TO TGN: AN LGBT IN TANZANIA

Welcome to TGN

KABLA HUJAPOST CHOCHOTE SOMA HAPA KWANZA:
Karibuni sana TGN. BLOG hii ni maalum kwa ajili ya kujadili mambo kadha wa kadha yanayohusu LGBT hapa Tanzania. Pamoja na hayo unaweza pia kujipatia rafiki wa jinsi unayotaka kutoka kwenye mkoa ulipo ama mahali popote pale ndani au nje ya Tanzania. Tunakukaribisha kuweka post yako ila zingatia yafuatayo.
1. Weka email address yako ambayo ni ya kweli kwa ajili ya mawasiliano yako wewe na atakayevutiwa na post yako.
2. Usiweke namba ya simu mahali popote kwenye Blog hii kwa ajili ya usalama wako
3. Usitumie jina lako halisi kwenye mtandao huu kwa ajili ya usalama wako.
4. Wapo watu wanaopost kwenye blog hii kwa lengo la kujiuza ama kujipatia kipato kwa kutumia miili yao. Post kama hiyo haitachapishwa kwenye blog hii.
5. Ni lazima utoe maelezo yako ya ukweli kuhusu mahali unakoishi na umri wako ili post yako ichapishwe.
6. Post yeyote ambayo haina email address, yenye lugha chafu, isiyoonyesha umri wako, yenye namba ya simu, yenye kuonyesha dalili za kutaka pesa au kujiuza haitachapishwa kwenye Blog hii.

7. Kama utapenda post yako iondolewe kwenye Blog yetu, ni lazima uwasiliane nasi kwa email address uliyoweka kwenye post. Huu utakuwa ni ushahidi tosha kwamba wewe ndiye uliyetuma post hiyo na hivyo una haki ya kuiondoa. Wapo watu wanaoomba kufutwa kwa post na baada ya uchunguzi tumegundua kwamba hizo post huwa zimewekwa na watu wengine. Ukishindwa kuthibitisha hivyo basi post hiyo haitaondolewa kwenye Blog
8. Wasiliana nasi kila wakati kwa kutumia email address hii hapa; tzgays@gmail.com
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.

Tuesday, April 12, 2011

KARIBUNI KWETU TGN

1 comment: